Baada ya villa squard kumnasa kiungo Athuman Idd "chuji", (pichani) kocha mkuu wa timu hiyo, Juma Pondamali ametamba yeye ndio kiboko ya wachezaji wa aina ya kiungo, hivyo na kudai atafanya jitihada za kutosha anambadili tabia.
Pondamali ambaye ni kocha wa makipa wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa stars, amesema simba na yanga zimeshindwa kumbadilisha chuji anayedaiwa kuwa ni mkorofi ,hivyo amezitaka kusubiri kuona mabadiliko ya muda mfupi kweye ligi kuu.
No comments:
Post a Comment