Waziri wa afya na ustawi wa jamii , DK.Hadji Mponda amepasua jipu na kusema hakuna utafiti wowote wa kisayansi unaothibitisha kuwa dawa za asili zina uwezo wa kutibu ukimwi.
Kauli hiyo ilitolewa na waziri huyo wakati anazindua kituo cha matibabu ya wagonjwa wa ukimwi na mafunzo katika hosipitali ya mnazi mmoja, jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki ilyopita.

No comments:
Post a Comment