Katibu mkuu wizara ya afya na ustawi wa jamii Blandina Nyoni.
Wizara ya afya na ustawi wa jamii imetahadharisha kusambazwa kwa samaki wenye sumu sehemu mbalimbali nchini na kuwataka wananchi washiriki msako ulioanzisha kuwatafuta.
Taarifa ya wizara hiyo iliyotolewa jana jijini Dar es salaam ,imeeleza kuwa samaki hao ni sehemu ya kilo 124,992 zilizo ingizwa nchini kutoka Japan.

No comments:
Post a Comment